Search This Blog

Sunday, January 17, 2021

Kusaya atoa wito huu kwa wafanyabiashara

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya ametoa wito kwa wafanyabiashara kujenga viwanda vya mbolea ili izalishwe kwa wingi hapa nchini na kusaidia bei ishuke kwa manufaa ya wakulima.

Kusaya ametoa rai hiyo wilayani Kilombero alipoongea na wakulima kufuatia malalamiko ya kuuziwa mbolea kwa bei kubwa.

"Ni nafasi yetu kutoa wito kwa wafanyabiashara, kwa mtu yoyote ambaye anaweza kuwekeza kwenye suala zima la viwanda vya mbolea, tunawashawishi pamoja na biashara wanazofanya pia wafungue na viwanda vya mbolea serikali imetengeneza mazingira rafiki" amesema Kusaya.

Aidha Kusaya amesema kuwa mbolea nyingi in atoms nje kutokana na changamoto hii ya kukosekana kwa viwanda vikubwa vya mbolea hapa nchini 

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...