Search This Blog

Wednesday, January 13, 2021

Google yasitisha akaunti ya YouTube ya Donald Trump


Baada ya Facebook na Twitter, mtandao wa Google umesitisha akaunti ya YouTube ya Rais wa Marekani Donald Trump kwa sababu ya vurugu zilizotokea katika jengo la Bunge.

Trump alikuwa na wafuasi milioni 2.77 kwenye akaunti yake ya YouTube.

Kufuatia hatua iliyochukuliwa na kampuni hiyo, Trump hataweza kuchapisha video kwenye tovuti kwa muda usiopungua siku 7.

Mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook pia ilisitisha akaunti ya Trump.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...