Bobi Wine alipiga kura katika kituo cha Freedom SquareImage caption: Bobi Wine alipiga kura katika kituo cha Freedom Square
Mgombea mkuu wa upinzani nchini Uganda Bobi amethibitishwa kupiga kura yake mapema leo .
Bobi Wine anawania urais nchini Uganda kwa mara ya kwanza huku akidai wa kutoa upinzani mklai kwa rais aliyepo madarakani Yoweri Museveni.
Yupo katika kinyanganyiro hicho kwa ahadi ya kuvutia uwekezaji na kuwapatia ajira vijana iwapo atachaguliwa

No comments:
Post a Comment