Search This Blog

Friday, January 29, 2021

Auawa na kufukiwa kisa wivu wa mapenzi


Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar wanamshikilia Hussein Haji (20) kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia Shimoni Seif Hamis chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

“Tulipopata taarifa tukafuata taratibu zinazotakiwa na kufukua shimo tukakuta mwili umetolewa jicho, mdomo uko pembeni na umevimba pia dalili nyingine zinazoonesha alipigwa kipigo kikali, Nchi yetu ina Sheria ni vizuri kama kuna kitu kinamuhusu Mke/Mume au Mtoto ukaripoti kwa Polisi sio kuchukua Sheria mkononi”-Polisi



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...