Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu, aliwasiliana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo kwa njia ya simu.
Kulingana na taarifa kutoka vyanzo vya kidiplomasia, iliarifiwa kuwa kwenye mazungumzo hayo ya Çavusoğlu na Pompeo, Uturuki iliwasilisha lawama zake kuhusu vikwazo ambavyo vimewekwa na Marekani.
Marekani ilichukuwa uamuzi wa kuweka vikwazo dhidi ya Uturuki kutokana na ununuzi wa mifumo ya ulinzi wa anga ya S-400 kutoka Urusi.

No comments:
Post a Comment