Search This Blog

Sunday, December 27, 2020

Waziri Jafo atoa kauli ya serikali kuhusu mashindano makubwa ya Quran Afrika 2021


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo amewataka watanzania kuendelea kudumisha amani na upendo ili kuendelea kuwa wamoja pasipo kubaguana.

Waziri Jafo amesema hayo leo wakati akitoa vyeti kwa washindi watano ambao ni wazee walioshiriki katika kusoma Qur'aan tukufu ambayo yameandaliwa na Taasisi ya Al Hikma Foundation ya jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...