Search This Blog

Saturday, December 19, 2020

VIDEO: Wahudumu kituo cha afya kilichoghalimu mil. 600 watumia tochi kuhudumia wagonjwa

Kituo cha Afya Lukole kilichopo wilayani Ngara mkoani Kagera kilichojengwa kwa msaada wa benki ya dunia kwa thamani ya zaidi ya milioni 600 kimelezimika kusitisha shughuli za upasuaji huku watoa huduma wa kituoni hapo wakilazimika kutumia sola na tochi za simu kuhudumia wagonjwa kutokana na kituo hicho kukosa umeme.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...