Search This Blog

Friday, December 11, 2020

Tundu Lissu atunukiwa tuzo ya demokrasia


Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania, Chadema,bwana Tundu Lissu ametunukiwa tuzo ya demokrasia.

Taasisi ya kimataifa ya 'International Democrat Union' imemtunuku tuzo hiyo kutokana na mapambano yake ya uhuru na demokrasia aliyoyafanya nchini Tanzania.

Mara baada ya matokeo ya uchaguzi uliofanyika mwezi Oktoba kutangazwa, Lissu alisema kuwa alikuwa akipokea vitisho vya kifo hatua iliomfanya kuondoka na kuelekea Ubelgiji.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...