Aliyekuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel amefariki dunia. Mfanyabiashara huyo alikuwa pia Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI).
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amin

No comments:
Post a Comment