Search This Blog

Sunday, December 27, 2020

Ratiba ya kombe la shirikisho leo

LEO Desemba 27 Kombe la Shirikisho hatua ya nne inaendelea kwenye viwanja tofauti ambapo kila timu itaingia uwanjani kusaka ushindi.
Timu itakayopoteza inatolewa jumlajumla kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Kombe la Shirikisho unaodhaminiwa na Kampuni ya Azam..

Bingwa mtetezi wa taji hili ni Simba ambaye alitwaa msimu wa 2019/20 baada ya kushinda mbele ya Namungo FC, Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.


Ratiba ipo namna hii:-

Namungo v Green Warriors, Uwanja wa Azam Complex.

Mtibwa Sugar v Geita Gold, Uwanja wa Jamhuri.

Simba v Majimaji, Uwanja wa Mkapa.
 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...