Search This Blog

Saturday, December 5, 2020

NBA waondoa kipimo cha bangi kwa wachezaji mpira wa kikapu


 Baada ya UN kuondoa bangi kutoka kwenye orodha ya madawa ya kulevya na kuutambua mmea huo kama tiba, NBA nao wameondoa kipimo cha bangi kwa wachezaji mpira wa kikapu.

Kwa mujibu wa ESPN, Mike Bass ambaye ndiye msemaji wa NBA, Jana Ijumaa ameeleza kuwa, "We have agreed with the NBPA to suspend testing for marijuana for the 2020-21 season and focus on other testing programs"

Sanjali na hilo, Msimu mpya wa ligi ya Kikapu Marekani (NBA) unatarajia kuanza Desemba 22, huku msimu mzima ukiwa na jumla ya michezo 72.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...