Search This Blog

Saturday, December 12, 2020

Mdrid yaipa kipigo Atletico Madrid

Mabao ya Casemiro dakika ya 15 na Jan Oblak aliyejifunga dakika ya 63 jana yaliipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Alfredo di Stefano.

Real Madrid inafikisha pointi 23 baada ya mechi 12 na kupanda nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi tatu na Atletico Madrid ambayo hata hivyo imecheza mechi 11.

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...