Search This Blog

Saturday, December 5, 2020

Mchekeshaji Chikumbalaga Sukariyao naye ana 'Bodyguard' wake

 


Mchekeshaji anayefanya vizuri kwa sasa kwenye mitandao, maarufu kwa jina la Chikumbalaga Sukariyao ametoa kali ya mwaka baada ya kuanza kutembea na 'bodyguard' wake mtaani kama wanavyofanya baadhi ya wasanii.

Mchekashaji Chikumbalaga ambaye anatokea Tunduma Mkoani Songwe, ameweza kutrend mitandaoni baada ya kushea picha hizo akiwa na bodyguard wake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Aidha, Chikumbalanga amepata umaarufu kwa njia ya wasanii kumtumia kwenye upande wa kuchekesha pale anaposhea video na audio akizisapoti kwa kucheza au kuimba nyimbo za wasanii hao kisha kupost mitandaoni.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...