Search This Blog

Monday, December 7, 2020

Mafuriko kutokana na mvua kubwa yaleta athiri Italia


Mafuriko kutokana na mvua kubwa yameathiri Miji ya Modena na Nonantola kaskazini mwa Italia.

Kulingana na vyombo vya habari vya eneo hilo, Mto Panaro karibu na mji wa Modena umefurika maji.

Wazima moto wamewaokoa watu 20 waliokwama kwenye mafuriko hayo.

Shughuliza uokoaji zinaendelea.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...