Search This Blog

Saturday, December 12, 2020

Bila uoga, Marioo amjibu kiutu uzima Harmonize


Msanii Marioo ameipinga kauli ya msanii na 'boss' la lebo ya Konde Gang Harmonize kwa kusema wimbo wake wa Ushamba ndiyo wimbo bora kati ya nyimbo zote zilizotoka mwezi Novemba.


Marioo amesema wakati Harmonize anatoa kauli hiyo wimbo wake 'mama amina' ulikuwa haujatoka ila ingetoka asingeweza kusema hivyo.


"Wimbo wangu umetoka mwezi wa 11 una wiki sasa, kipindi kile anasema hivyo wimbo wangu ulikuwa bado haujatoka kama ingetoka sidhani kama angeweza kuongea vile, dude langu hili ni 'hit song' na la moto kuliko magoma yote yaliyotoka sasa hivi" amesema Marioo


Zaidi tazama hapa chini akizungumzia hilo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...