Search This Blog

Monday, December 21, 2020

ABDUL AZIZI UZAIRU ANATAFUTWA AMWPOTEA


Diwani Wa  Kata Ya Tandika W/temeke Mkoa Dsm Mh Uzairu Anatangaza Amepotelwa Na Mtoto Wake Aitwaye Abdul Azizi Uzairu Mwenye Umri Wa Miaka 17 Anasoma Ihsan Sec. School Iliyopo Kigamboni Dsm 2020 Kidato Cha 3.


Ametoweka Nyumbani Mtaa Wa Nyambwela, Tandika, Temeke Dsm Tarehe 17/12/2020 Saa 11:00 Asubuhi Akiwa Amebeba Begi Mgongoni.


Juhudi za Kumtafuta Zinaendelea Bado Hajapatikana kama utamuona kokote piga simu namba 0784365761  AU 0784797717







No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...