Search This Blog

Monday, November 23, 2020

Uganda tawaruhusu raia wake kusafiri Tanzania


Wafanyabiashara, wanafunzi na wasafiri wengine wanaovuka mpaka kutoka Uganda kuelekea Tanzania sasa wanaweza kusafiri kwa mabasi kama kawaida, limeripoti gazeti la Daily Monitor Uganda

Wafanyabiashara, wanafunzi na wasafiri wengine wanaovuka mpaka kutoka Uganda kuelekea Tanzania sasa wanaweza kusafiri kwa mabasikama kawaida.

Usafiri wa basi uilikuwa umepigwa marufuku tangu mwezi Machi wakati serikali ya nchi hiyo ilipofunga mipaka yake na kupiga marufuku safari za umma ili kukabiliana na Covid-19, ambao hadi sasa umekwisha wauwa watu zaidi ya140 nchini humo.

Wasafiri wanaoingia nchini Uganda hupitia mpaka wa Mutukula kwa kutumia mabasi yabnayopita katika nchi zaTanzania, Burundi, Rwanda na Zambia.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...