Search This Blog

Tuesday, November 10, 2020

Trump azuia maafisa wake kushirikiana na Biden


Rais wa Marekani, Donald Trump amewazuia Viongozi wa Serikali yake kushirikiana na Rais Mteule, Joe Biden. Viongozi wa Trump wamepuuzia matokeo ya Uchaguzi yaliyomtangaza Joe Biden kuwa mshindi

Baadhi ya wanachama wa Republican pamoja na Kiongozi wa Baraza la Seneti, Mitch McConnell, wameunga mkono juhudi za Trump kupinga matokeo ya Uchaguzi

Mfumo wa Wajumbe wa Uchaguzi umeratibiwa kutoa matokeo rasmi ya ushindi wa Biden, Desemba 14 na kuapishwa Januari 20, 2021




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...