Search This Blog

Tuesday, November 10, 2020

Msanii Davido Afanikiwa Kubadili Jina Lake Instagram Kutoka Davidoofficial na Kuwa Davido Baada ya Kushindwa Kwa Muda Mrefu


Msanii wa Muziki kutoka Nigeria Davido Amebadilisha jina lake (Username) katika Mtandao wa Instagram kutoka jina alilokuwa akilitumia mwanzo yaani davidoofficial na sasa anatumia @davido

@davido amefanikiwa kupata Username ya jina lake baada ya Kushindwa kutumia jina hilo kutokana na kutumiwa na mtu mwingine



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...