Search This Blog

Friday, November 20, 2020

Mashindano ya CECAFA kufanyika Arusha

 

Mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana chii ya umri wa miaka 20 yaliyoandaliwa na shirikisho la mpira wa miguu  Afrika Mashariki (CECAFA) ikishirikisha nchi tisa yanatarajia kuanza kufanyika mkoani Arusha


Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta amesema hadi sasa nchi mbili zimeshawasili kwa ajili yakujiandaa na mashindano hayo ambapo mechi hizo zitachezwa katika viwanja viwili vilivyochaguliwa ikiwemo cha Sheikh Amri Abeid Stadium pamoja na kiwanja cha Black Rhino.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...