Search This Blog

Monday, November 23, 2020

Kikosi cha Simba kuondoka nchini leo kwenda Nigeria

 


Kikosi cha timu ya soka ya simba kitaondoka nchini leo novemba 24 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwenda Nigeria kwa kupitia Ethiopia kusafiri kikiwa na orodha ya wachezaji 24.

 Safari itaanza saa 11:45 jioni na kufika usiku jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo kikosi kitapumzika mjini hapo na kuendelea na safari ya kwenda Abuja, Nigeria siku ya jumatano asubuhi. 

Hiki hapa kikosi kamili kitakachosafiri;




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...