Search This Blog

Tuesday, November 24, 2020

Justin Bieber awakosoa Grammy kuhusu albamu yake

 


Muimbaji wa muziki wa Pop na R&B kutokea nchini Canada Justin Bieber Mwaka huu Amepata nafasi ya kutajwa kuwania Tuzo za Grammy2021 katika Vipengele vinne ambavyo ni 'Best Pop Vocal Album', 'Best Pop Solo Performance', 'Best Pop/Duo Group Performance' na 'Best Country Duo/Group Performance',

Justine Bieber amewakosoa waandaaji wa tuzo hizo na Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bieber Ameandika ujumbe Akielezea kushangazwa na kitendo cha waandaaji wa hao kuiweka album yake ya 'CHANGES' Kuwania Tuzo kwenye kipengele cha 'Best pop vocal album' wakati Album hiyo ni ya R&B,

Justin Bieber Amewataka Watu wasitafsiri vibaya alichokisema kwani hayo ni mawazo yake unaweza kukubaliana nayo au kuyakataa na Pia Amewashukuru watu wote Waliomuwezesha Kutajwa kuwania Tuzo katika Vipengele hivyo.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...