Search This Blog

Sunday, November 1, 2020

Dkt.Hussein Mwinyi kuapishwa urais leo Zanzibar


Rais mteule wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Hussein Ali Mwinyi anaapishwa leo visiwani humo, kuweza kutumikia awamu yake ya kwanza ya miaka mitano ya uongozi.

Dkt. Mwinyi alitangazwa mshindi wa nafasi ya Urais Zanzibar kwa asilimia 76. 27% huku mpinzani wake Maalim Seif akiwa mshindi wa pili kwa asilimia 19.87%.

Jumamosi, Dkt.Ali Mohamed Shein alitangaza kuwa siku leo ni mapumziko ili watu wote Zanzibar waweze kushiriki kwa ukamilifu sherehe hizo.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...