Search This Blog

Tuesday, October 20, 2020

Watu 4 wafariki kwenye mlipuko uliotokea Mosul nchini Iraq


Watu 4 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mlipuko uliotokea kwenye kitongoji cha Mahmur kilichoko viungani mwa mji wa Mosul nchini Iraq.

Kulingana na taarifa za vyombo vya habari vya ndani ya nchi, gari moja lilipuliwa kwa mtego wa kilipuzi na kusababisha baba mmoja na watoto wake 3 kufariki.

Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa kuhusiana na mlipuko huo.

Shughuli ya uchunguzi inaendelea katia eneo la tukio.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...