Search This Blog

Wednesday, October 7, 2020

VIDEO: Utata waibuka kaburini, wananchi wazua balaa wataka Polisi kumzika marehemu aliyefariki mikononi mwao


Jeshi la Polisi mkoani Njombe limejikuta katika wakati mgumu mara baada ya wakazi wa kata ya Mji Mwema halmashauri ya mji wa Njombe,wakitaka jeshi hilo kumzika Marehemu Kelvin Fute (34) katika makaburi ya Hagafilo wakituhumu Polisi kuhusika na kifo cha kijana huyo aliyekuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kuuza msitu wa miti usio kuwa mali yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...