Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo alisema vyama vya siasa 12 vinafadhiliwa ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi CCM na kutafuta maslahi kupitia jukwaa la siasa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment