"Tunasujudu mbele ya Mwenyezi Mungu. Hatujawahi na wala hatutawahi kusujudu mbele ya nguvu nyingine yoyote.", alikumbushia Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan katika video fupi ya ukumbusho aliyorusha katika mtandao wa Twitter.
Erdoğan alionekana kuwahutubia wananchi kwenye mkutano, katika video hiyo fupi ya ukumbusho aliyorusha kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Katika video hiyo Erdoğan ameonekana akiwahutubia wananchi wake na kusema,
"Tunasujudu mbele ya Mwenyezi Mungu. Hatujawahi na wala hatutawahi kusujudu mbele ya nguvu nyingine yoyote. Mlitambue hilo" , ni sehemu ya maneno yaliyotamkwa na Erdoğan katika hotuba hiyo.

No comments:
Post a Comment