Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Prof. Damian Gabagambi afariki dunia Oktoba 20 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Prof. Gabagambi aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa NDC Machi 23, 2018 na akaihudumu nafasi hiyo hadi umauti ulipomkuta
Taratibu za Mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu, Oyster Bay, Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment