Search This Blog

Thursday, October 8, 2020

Nakushukuru Chakwera kwa kuja kwenye uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Stand Mbezi Luis- JPM


 “Niliona kwa heshima ya pekee jina la Chakwera lisifutike DSM, Jina la Chakwera litabaki Tanzania na hasa DSM kwenye Mji wa Wazaramo ambao wanaikimbia DSM kila siku, nakushukuru Chakwera kwa kuja kwenye uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Stand Mbezi Luis”-JPM

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...