Search This Blog

Wednesday, October 14, 2020

Juventus wajitenga sababu ya Corona


Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa yao baada ya kiungo wa timu hiyo Weston McKennie kuthibitika kuwa na Corona.

Weston McKennie ambaye amejiunga na Juventus katika dirisha hili la usajili akitokea Schalke ya Ujerumani, ndio mchezaji pekee wa Juventus kuthibitika kuwa na maambukizi hayo kati ya wachezaji wote hivyo wanajitenga kwa tahadhari.

Taarifa hizo zinakuja ikiwa ni saa 24 zimepita toka Cristiano Ronaldo wa Juventus athibitike pia kuwa na maambukizi ya Corona akiwa kwao Ureno  na sasa amejitenga.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...