Search This Blog

Thursday, October 15, 2020

Hatimaye Rais wa Kyrgyztan ajiuzulu baada ya shinikizo la upinzani



Kufuatia mgogoro wa kisiasa nchini Kyrgyztan rais wa nchi hiyo amejiuzulu ili kurejesha utulivu baada ya siku kadhaa za maandamano yakimtaka kuachia madaraka.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...