Search This Blog

Sunday, October 18, 2020

Azam FC Yakataa Bilioni 2 Kutoka Raja Cassablanca ya Morocco..Kumuuza Prince Dube

 


Azam FC imesema haipo tayari kumuuza mshambuliaji wake, Prince Dube kwa sasa na kuwa itakuwa tayari kumuachia kwenye dirisha dogo la usajili. Raja Cassablanca ya Morocco imeripotiwa kutaka kumsajili kwa dau la TZS bilioni 2.3. Dube amefunga magoli sita hadi sasa.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...