Search This Blog

Monday, September 14, 2020

Waziri wa ulinzi wa Uturuki awasili Kupro ya Kaskazini


Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amewasili Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini  katika ziara yake rasmi.

Waziri  huyo wa ulinzi wa Uturuki amekwenda  mjini Nikosia baada ya kumaliza mkutano wake na  meja -jenerali  Yaşar Güler.

Hulusi Akar amezungumza pia na Ümit Dündar, amiri jeshi wa kikosi cha jeshi la majini Adnan Özbal na jeshi la ardhini Hsan Küçükakyüz mjini Antalya.

Baada ya mazungumzo yake hayo, Hulusi Akar  amejielekeza mjini Nikosia.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki amehudhuria pia katika mazoezi   ya jeshi la Uturuki na jeshi la  Jamhuri ya Kupro ya Kaskazini.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...