Search This Blog

Saturday, September 5, 2020

Wanawake Brazil Kulipwa Sawa na Neymar



WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa mishahara sawa na wachezaji wa timu ya wanaume ametangaza Rais wa Shirikisho la Boka Brazil (CBF), Rogerio Caboclo.

CBF inakuwa miongoni mwa mashirikisho machache Duniani yanayolipa posho sawa kwa timu za taifa za wanawake na wanaume, mataifa mengine yanayofanya hivyo ni Astrallia, Norway na New Zealand.

Malipo haya yataanza katika michuano ya Olympic itakayofanyika mwakani na katika fainali za kombe la Dunia. Rogerio Caboclo.

Amesema ‘itakuwa sawa kwa wote kama mapendekezo ya FIFA yanavyotaka kwenye soka la wanawake, hivyo hakutakuwa na utofauti wa jinsia’.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...