Search This Blog

Saturday, September 26, 2020

Wanamgambo 7 wa kundi la Boko haramu wameuawa katika operesheni Kaskazini mwa Nigeria


Wanamgambo wa kundi la boko haramu wameuawa katika operesheni kali ilionedshwa na jeshi la Nigeria.

Operesheni kali imieendeshwa na jeshi la Nigeria katika eneo ambalo wanamgambo hao walikuwa wamekita kambi Kaskazini mwa Nigeria.

Msemaji wa  wizara ya ulinzi nchini Nigeria John Enenche ametangaza kuuawa kwa kaanali mmoja wa kundi hilo katika operesheni ilioendeshwa na jeshi la Nigeria.

Operesheni kali imeendeshwa katika eneo la fukwe za ziwa Chad.

Msemaji huyo wa wizara ya ulinzi wa Nigeria emeendelea akisema kuwa  wanamgambo wa kundi hilo wapatao wanne wamejisalimisha baada ya kuelemewa  katika makabiliano na jeshi.

Taarifa zilizotolewa na jeshi la Nigeria  zimefahamisha kuchoma moto kambi iliokuwa ikitumiwa na magaidi hao na kupokonya silaha zao.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...