Search This Blog

Monday, September 14, 2020

TCRA: Watangazaji wa vyombo vya habari wanapaswa kuwa Shahada, Stashahada


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imezipiga marufuku radio zote nchini na televisheni kutumia watu wasio na taaluma ya uandishi wa habari kuendesha vipindi vyao.

Marufuku hiyo imekuja kufuatia siku za hivi karibuni kuibuka wimbi la wasanii, wachekeshaji kutangaza vipindi mbali mbali vya radio na televisheni.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...