Search This Blog
Sunday, September 6, 2020
Pili Kitimtim Afunguka Makubwa "Nina Kibabu Changu cha Miaka 52, Dar Kugumu Sana"
Mchekeshaji na muigizaji Pili Kitimtim amefunguka kusema mahusiano ya hapa Dar Es Salaam ni magumu ndiyo maana hata yeye ana kibabu chake cha miaka 52 ambao wapo kwenye mahusiano kwa mwaka wa 10 sasa.
Pili Kitimtim amesema suala la umri halimpi shida kwake kuwa kwenye mahusiano anachojali ni vigezo kutoka kwa mwanaume anayemtaka ambavyo kwanza awe mzee, mfupi, mnene mweusi.
"Mimi nina mwanaume huu mwaka wa 10 sasa tunakimbizana hadi tunarogana tupo busy na mahusiano hatuachani leo wala kesho na kibabu changu hicho kina miaka 52 nakapenda sana, kwangu umri haunipi shida kwenye mahusiano ili mradi mwanaume awe mfupi, mnene, mweusi basi nachanganyikiwa" amesema Pili Kitimtim
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment