Search This Blog

Monday, September 28, 2020

Marioo afunguka kuhusu kutaka kujinyonga


Msanii wa BongoFleva Marioo amenyoosha maelezo kuhusu kutaka kujinyonga kisa kutendwa kwenye suala zima la mapenzi kama ambavyo alivyoashiria kwenye picha alizopost kwenye mtandao wa Instagram.

Marioo amejibu hilo kwenye mkutano na waandishi wa habari baada ya siku ya jana kupost picha mbili ikionyesha vitanzi vya kujinyonga huku akiyalaumu mapenzi kwenye maneno ambayo ameyaandika. 

"Post zangu mbili tatu ndiyo zimeleta utata kidogo hadi watu kuanza kujiuliza, siku ya kwanza nilipost kitu nikiuliza hivi mapenzi ni kitu gani halafu baadaye nikapost vitanzi ambapo ikaleta utata mkubwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii kwamba Marioo anataka kujinyonga lakini sio kweli ile ni picha tu niliyotumia kwenye cover ya wimbo wangu" 

Aidha Marioo ameongeza kusema "Picha ile ilimaanisha kuwa namuongelea mtu ambaye amekata tamaa ya mahusiano hadi kufikiria kujinyonga kwa hiyo nikaamua kuweka kitanzi



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...