Search This Blog

Monday, September 7, 2020

Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wahamishiwa hospitali ya Muhimbili

 


Wasanii wa Bongo Fleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau waliopata ajali wakiwa wanatokea mkoani Iringa wamehamishiwa Hospitaliti ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam kwa matibabu zaidi kutoka kituo cha Afya Chalinze.

Wasanii hao walipata ajali leo Jumatatu Septemba 7, 2020 saa kumi alfajiri maeneo ya Mwidu, Chalinze mkoani Pwani wakiwa wametokea mkoani Iringa kuelekea Dar es Salaam



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...