Search This Blog

Monday, September 7, 2020

KMC FC yaitandika Mbeya City bao 4 bila huruma

Timu ya Manispaa ya Kinondoni KMC FC leo imecheza mchezo wake wa kwanza na hivyo kuibuka na ushindi wa goli nne kwa sifuri dhidi ya Mbeya City mchezo ulipigwa katika uwanja wa Uhuru jijin Dar es Salaam.

katika mchezo huo ambao ulikuwa na burudani ya aina yake, umetoa taswira kwa timu ya KMC FC katika kutimiza malengo ya kuweza kuchukua ubingwa katika msimu huu wa ligi kuu tanzania bara MWAKA 2020 hadi 2021.

mafanikio ya ushindi huo yametokana na uwezo ambao wachezaji wa KMC FC wameuonesha katika kipimdi cha dakika 90 za mchezo ikiwa ni pamoja na kuzingatia maelezo waliyokuwa wanapewa na mwalimu wakati wa maandalizi ya mchezo huo.

Magoli ya KMC FC yamefungwa na wachezaji Israel Mwenda, Hassan Kagunda, Abdul Hilary pamoja na Poul Peter na hivyo kuwawezesha mashabiki wa timu hiyo kuondoka uwanjani wakiwa na furasa na hivyo kutuma Salama kwa timu ya Tanzania Prison ambayo itakwenda kukutana nayo katika mchezo ujao.

Kikosi cha KMC FC leo kilikuwa na wachezaji ambao ni Rahim Sheik, Isra Mwenda, David Bryson,Lusajo Mwaikenda, Andrew Vicent, Hassan Kaparata, Hassan Kabunda, Kenny Ally , Poul Peter, Emmanuel Mvuyekule pamoja na Abdul Hillary.

Afisa Habari wa Timu ya KMC.Timu ya Manispaa ya Kinondoni KMC FC leo imecheza mchezo wake wa kwanza na hivyo kuibuka na ushindi wa goli nne kwa sifuri dhidi ya Mbeya City mchezo ulipigwa katika uwanja wa Uhuru jijin Dar es Salaam.

katika mchezo huo ambao ulikuwa na burudani ya aina yake, umetoa taswira kwa timu ya KMC FC katika kutimiza malengo ya kuweza kuchukua ubingwa katika msimu huu wa ligi kuu tanzania bara MWAKA 2020 hadi 2021.

mafanikio ya ushindi huo yametokana na uwezo ambao wachezaji wa KMC FC wameuonesha katika kipimdi cha dakika 90 za mchezo ikiwa ni pamoja na kuzingatia maelezo waliyokuwa wanapewa na mwalimu wakati wa maandalizi ya mchezo huo.

Magoli ya KMC FC yamefungwa na wachezaji Israel Mwenda, Hassan Kagunda, Abdul Hilary pamoja na Poul Peter na hivyo kuwawezesha mashabiki wa timu hiyo kuondoka uwanjani wakiwa na furasa na hivyo kutuma Salama kwa timu ya Tanzania Prison ambayo itakwenda kukutana nayo katika mchezo ujao.

Kikosi cha KMC FC leo kilikuwa na wachezaji ambao ni Rahim Sheik, Isra Mwenda, David Bryson,Lusajo Mwaikenda, Andrew Vicent, Hassan Kaparata, Hassan Kabunda, Kenny Ally , Poul Peter, Emmanuel Mvuyekule pamoja na Abdul Hillary. 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...