Search This Blog

Sunday, September 27, 2020

Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Azindua Awamu ya Tatu Kampeni CCM


Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa amezindua awamu ya tatu ya Kampeni za CCM Kutokea Kongwa Mkoani Dodoma Kwenye Mkutano Mkubwa wa Mgombea Mwenza wa CCM Mama Samia Suluhu Hassani. Chama Cha Mapinduzi kimeingia Awamu ya 3 Kati ya 6 za Kuwasha Mitambo yake ya Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wote nchi nzima. @ccmtanzania #T2020JPM #VitendoVinaSauti









No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...