Search This Blog

Saturday, September 5, 2020

Drone zazunguka Israel kumwaga bangi

 


Drone nchini Israel Jana alhamisi zimetumika kudondosha vifurushi vya bangi bure Kwa mamia ya watu katika Jiji la Tel Aviv.

Drone Hizo zinaaminika kuwa ni mali ya kikundi kinachoendesha kampeni ya kuunga mkono uhalalishaji wa matumizi ya bangi cha nchini Israel.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...