Search This Blog

Wednesday, September 23, 2020

CCM Kinara Takwimu za Umati wa Wananchi Katika Mikutano ya Kampeni


Kazi Nzuri iliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi katika Uandaaji na Kuinadi Ilani inaendelea kumbeba Mgombea Urais wa Chama hicho Dr  John Pombe Magufuli, Baada ya Shirika la Utafiti la Kimataifa kutoa Utafiti Mwingine kuelekea Oktoba 28. #T2020JPM #KuraKwaMagufuli @VitendoVinaSauti

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...