Search This Blog

Monday, August 3, 2020

Waziri Angellah Kairuki atembelea Banda la Tigo Maonesho ya NaneNane Simiyu


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu/Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki, pamoja na Waziri wa kilimo, Mh. Japhet Hasunga watembelea maonesho ya #TigoNanenane2020 na kujionea bidhaa na huduma kutoka Tigo.Ambapo katika msimu huu kuna punguzo la bei ya simu zikiwa na Internet BURE mwaka mzima ili kuleta maendeleo kwa wakulima, wavuvi na wafugaji. Tembelea katika viwanja mbalimbali ili kujipatia huduma na bidhaa za Tigo.







No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...