Search This Blog

Saturday, August 22, 2020

VIDEO: Dkt. Msola afunguka kuhusiana na wachezaji wapya

Timu ya Yanga leo imezindua wiki ya wananchi Jijini Dodoma kuelekea kilele cha siku hiyo kitakachofanyika siku ya tarehe 30, mwezi huu katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es saalam huku mwenyekiti wa timu hiyo Dkt Mshindo Msola akibainisha hatua waliyofikia katika kuelekea mabadiliko ndani ya timu hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...