Search This Blog

Tuesday, August 25, 2020

ULEGA AREJESHA FOMU NA AMETEULIWA RASMI KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKURANGA

 Mbunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kulia)  leo Agosti 25, 2020 akirudisha fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ambaye ndie msimamizi wa uchaguzi, Mhandisi Mshamu Munde.Mgombea wa Ubunge jimbo la Mkuranga,Abdallah Hamisi Ulega akisaini fomu wakati wa kurudisha fomu za kuomba kuteuliwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Mhandisi Mshamu Munde.

 Mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kushoto)  kwa tiketi ya CCM,akijadiliana jambo na viongozi wa CCM Wilaya ya Mkuranga mara baada ya kurejesha fomu.

(Piha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...