Search This Blog

Sunday, August 9, 2020

Ukimwaga Mboga Tunamwaga Ugali..Bosi wa Simba Atua Yanga Baada ya Kujiuzulu....


Muda wowote Wananchi watamwaga Ugali baada ya majirani zao kumwaga Mboga. Inadaiwa Klabu ya Yanga  imeamua kumng’oa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba ,Senzo Mazingisa

Hakika huu ni usajili wa Kishindo na usiotabirika, muda mchache uliyopita Senzo alitangaza kujiuzulu na muda wowote ule Wananchi watautikisa usajili wa msimu huu baada ya Mnyama kufanya hivyo hapo jana.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...