Search This Blog

Friday, August 28, 2020

Twaha kiduku aibuka mshindi dhidi ya Dullah mbabe

Twaha Kiduku hatimae aibuka mshindi dhidi ya Dullah Mbabe katika pambano  lililopigwa usiku huu katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Baada ya raundi zote 10 kukamilika, Majaji wote watatu wamempa ushindi Twaha Kiduku kwa pwenti 93-97, 91-99 na 93-97.

Hata hivyo pambano lilikuwa la kukatabna shoka kwani haikuwa rahisi kwa Twaha Kiduku kuibuka mshindi.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...