Search This Blog

Monday, August 24, 2020

Tessy na Irene Uwoya wamaliza tofauti

 

Tessy wa Aslay  ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kushea picha ya mwigizaji Irene Uwoya akiwa katika vazi la CCM ikiwa wawili hao walikua na bifu.

Tessy alipost picha hiyo na kuandika ‘Kuna mambo mengine bwana sio lazima tutumie nguvu maana tayari yanajieleza mwenye macho haambiwi tazama ndani ya miaka mitano tumejionea sasa tunasema tunataka mitano tena nani mwingine kama sio TingaTinga’- Tessy

Ikumbukwe hapo awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari kuwa wana ugomvi uliopelekea kutoonekana kuwa na ukaribu kama ambavyo mashabiki walivyozoea



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...