Search This Blog

Saturday, August 22, 2020

Sevilla yatwaa taji la Europa League kwa mara nyingine

 


Wachezaji wa Sevilla ya Hispania wakishangilia na taji la Europa League kwa mara nyingine tena baada ya kuifunga Inter Milan ya Italia mabao 3-2 kwenye fainali usiku wa jana Uwanja wa RheinEnergie Jijini Cologne, Ujerumani. Mabao ya Sevilla inayobeba taji la sita sasa yalifungwa na Luuk de Jong mawili dakika ya 12 na 33 na Romelu Lukaku aliyejifunga dakika ya 74 wakati ya Inter Milan yalifungwa na Lukaku kwa penalti dakika ya tano na Diego Godin dakika ya

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...